Alhamisi, 12 Oktoba 2017
DONALD NGOMA KUIKOSA KAGERA SUGAR KESHO BUKOBA
IBRAHIM AJIB KUVAA VIATU VYA DONALD NGOMA Na Halima Sadick Mshambuliaji Wa Club Ya YANGA Donald Dombo Ngoma Ataikosa Kagera Sugar Kesho Kutokana Na majeruhi Ya goti Aidha Nafasi Yake inategemewa kujazwa Na Mshambuliaji Mpya aliyetokea katika club Ya SIMBA msimu uliopita. Kwa Habari zaidi Enderea Kuwa nasi Halima Sadick Sports News kwa Habari Za michezo
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
