Alhamisi, 12 Oktoba 2017

DONALD NGOMA KUIKOSA KAGERA SUGAR KESHO BUKOBA

IBRAHIM AJIB KUVAA VIATU VYA DONALD NGOMA  Na Halima Sadick  Mshambuliaji Wa Club Ya YANGA Donald Dombo Ngoma Ataikosa Kagera Sugar Kesho Kutokana Na majeruhi Ya goti Aidha Nafasi Yake inategemewa kujazwa Na Mshambuliaji Mpya aliyetokea katika club Ya SIMBA msimu uliopita. Kwa Habari zaidi Enderea Kuwa nasi Halima Sadick Sports News kwa Habari Za michezo
Na Halima Sadick KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO ENDEREA KUWA NASI

Jumatatu, 17 Julai 2017

Haji Manara Afunguliwa Kifungo Chake

Msemaji Wa Klabu Ya SIMBA Haji Manara ameruhusiwa ku Enderea Kuwa Msemaji Wa Klabu hiyo kama ilivyokuwa tangu Amalie